Saturday, August 6, 2011

Ziara Ya Mke Wa Rais Wa Burundi


Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete (kulia) akimpatia zawadi ya kinyago maalumu Mke wa Rais wa Burundi Mama Dkt, Denise Bucumi Nkurunziza Aug 4,2011 ,jijini Dar es Salaam . Picha na Mwanakombo Jumaa-MALEZO.


Mjasiriamali kutoka Rocky,s Product Zahrock Ahmed (kushoto) akionyesha bidhaa zake mbalimbali anazozitengeneza kwaajili ya viungo mbalimbali vya chakula (spices) wakati Mke wa Rais wa Burundi Mama Dkt, Denise Bucumi Nkurunziza alivyotembelea katika mabanda ya maonyesho ya wanawake wajasiriamali katika viwanja vya Taasisi ya WAMA jijini Dar es Salaam Aug,4,2011, Wapili kulia ni Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete, , (Picha na Mwanakombo Jumaa-MAELEZO)

No comments:

Post a Comment