MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Edward Lowassa (katikati kulia) akiwa katika kikao cha pamoja na Wabunge wa Bunge la India wanaoongozwa na Spika wa Bunge lao, Lok Sabha . Kikao hicho kilifanyika New Delhi India ambako kamati hiyo iko katika ziara ya kikazi. |
No comments:
Post a Comment