![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiW5nsz2H1202ubju1sOQUPs38TydlEkMZnAfoUpF3bVErZ2ftToZIJ7gK5_aHHTMmMIhh2KPGqP1LkT-Kf2V_Cm-pJyybN9pRZiJBhBlrEbT0VoLjX8eFIbdovpi67wMzbJLqDzQZ1UIs/s400/GO9G1941.JPG)
Rais Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa marehemu Balozi George Nhigula,Tabata,Dar es Salaam.Alifariki dunia Agosti 14 katika Hospitali ya Magomeni Mikumi Dar es Salaam alikokuwa akipata matibabu.Balozi Nhigula aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali ikiwamo ubunge,balozi katika nchi mbalimbali na Katibu Mkuu wa kwanza Mwafrika katika Wizara ya Kazi kuanzia mwaka 1965 hadi 1966...
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akitoa pole kwa familia ya marehemu Balozi George Nhigula nyumbani kwake Tabata jijini Dar es Salaam jana asubuhi.
Picha na Freddy Maro-IKULU
No comments:
Post a Comment