Sunday, May 6, 2012

SIMBA 5 YANGA 0 !


Hivi ndivyo uwanja wa Taifa ulivyo furika muda huu 
(Picha na Ahmad Michuzi)
 Hapa Shabiki wa Simba akionesha katuni lake la mmyama live Muda huu..
Mwanachama Mkubwa wa Simba Gadner Dibibi akiwa na mwanachama mwenzake Neshno muda huu wakionesha idadi ya magoli leo

.Chanzo:http://fredynjeje.blogspot.com

No comments:

Post a Comment