Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akisalimia Mtoto Abdulsalami Omaar wa Fujoni wakati
wa sherehe za uwekaji wa jiwe la msngi ujenzi wa skuli ya Maandalizi
ya Fujoni Jimbo la Kitope,alipokuwa katika ziara ya kuangalia
maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya ya Kaskazini
B leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Wanafunzi wa Skuli ya Maandalizi ya Fujoni wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,alipozungumza na wazee na watoto hao,baada ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa Skuli ya hiyo leo,akiwa katika ziara ya kuangalia
maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya ya Kaskazini
B.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,alipozungumza na wazee na watoto hao,baada ya kuweka jiwe la
msingi ujenzi wa Skuli ya hiyo leo,akiwa katika ziara ya kuangalia
maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya ya Kaskazini
B.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,akifuatana na Mwalimu Mkuu wa Skuli ya Sekondari ya
Kitope,Suleiman Juma Makame,wakati alipokagua vikalio katika madarasa
ya mapya ya Skuli ya Sekondari Kitope jana,baada ya uzinduzi
rasmi.akiwa katika ziara ya kuangalia maendeleo katika sekta mbali
mbali za jamii katika wilaya ya Kaskazini B leo.[Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.]

Ali Mohamed Shein,akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Skuli ya
Sekondari ya Kitope,Wilaya ya Kaskazini B,alipokuwa katika ziara ya
kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya
hiyo Mkoa wa kaskazini Unguja leo,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Sekondari ya Kitope,Wilaya ya Kaskazini B,alipokuwa katika ziara ya
kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya
hiyo Mkoa wa kaskazini Unguja leo,(kushoto) Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar na Mbunge wa Jimbo la Kitope Balozi Seif Ali Iddi.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uwekaji wa jiwe la
msingi ujenzi wa Skuli ya Maandalizi ya Fujoni,akiwa katika ziara ya
kuangalia maendeleo katika sekta mbali mbali za jamii katika wilaya ya
Kaskazini B leo.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
No comments:
Post a Comment